Who is your Ruge? Who are you Ruge to?



I am one of the millions of Tanzanians who have closely followed the funeral of the mass media producer of Media Media Group Ruge Mutahaba who died in February 26,2019.

In the five days I followed the funeral I heard only one person who wrote on the Facebook account that he would remember the last time he was growing up ".



All the others I saw in Ruge remember him as he touched their lives by making their dreams come true.

Whether it is actually a tragedy given "promo" than real or not true, what we have seen, we have heard, we have read many people express their feelings for the late than most funerals we have witnessed here.



Ruge did not look at the worlds in search of size. There is a difference between size and success

What is the size? It is popularity? Is it a lot of money and cars?

To be great you have to do something for the purpose of doing the thing yourself. That is why you can find a picture of Ruge Mutahaba while driving a car but missing it and people will get more than a hundred.



If you search for an on-board plane, you may miss it but the other will find it. It doesn't mean Ruge has never climbed the plane but he was growing up looking for the size and not the image of the bird is not part of what he is doing, even though he ever hit we have never seen it.

There are people who have no money but they are big worlds, this group is Bobby Marley, Martin Luther King, Julius Caesar, Walt Disney, Julius Nyerere, William Shakespeare.



Search size. There are differences between size and success. Let's remember these people Stephen Van Rensselaer, Alan Rufus, William De Warrene. Eve grew up among the richest people in the world. They were really popular in the world but when they died and their names were erased. The size is the number of people you have made to approach or approve when they want to arrive when you are alive.

Hata wewe watu wengi unaowakumbuka ni wale uliotumia muda mwingi ukiwa nao. Muda ni kitu cha thamani ambacho kama utakitoa kwa wanaokuzunguka hautosaulika mapema. Toa muda wako kwa faida ya wengine hasa marafiki,wafanyakazi wako,ndugu na jamaa kila kila mara.



Kuwa mtu wa kutoa zaidi kuliko kupokea. Watu unaowakumbuka sana ni wale waliokupa zaidi kuliko uliowapa. Inaposemwa kutoa haina maana matoleo ya pesa ama vitu vya thamani .Ruge alitoa heshma, upendo, msaada, ushauri na mengine anayoweza.

Jichukue na jipeleke siku yako ya mwisho ambayo utakua kwenye jeneza. Jaribu kufikiria wewe na maisha yako ya kupenda rushwa nini kitaandikwa kukuhusu?. Watakaokua wanalia watalia kwa sababu umekufa mapema? umeacha watoto au uliwauzia haki zap kwa fedha ulizonunulia magari ya kifahari?



Maisha sio kula, kuzaa na kusubiria kufa.Kwakua tumependa kuishi basi haihuzunishi tukifa. Kiwango cha huzuni utakachokiacha duniani baada ya kifo chako kitategema tabia yako ya kusaidia bila kupoteza hamu ya kujitolea wakati ulipokua hai.Kadri maisha yako yatakavyowagusa watu wengi ndivyo alama yako baada ya kufa inavyozidi kuwa kubwa.

Inashangaza kuona Nandy analia kiasi cha kushindwa kuimba mbele ya jeneza la Ruge lakini hajui kwa nini anamlilia Ruge.



Laiti angejua sababu inayomliza kwa uwezo na alipofika sasa angelikua amekwisha tengeneza Nandy mwingine. Hajui kwa sababu ana hofu ya kupitwa na tamaa ya kuwa wa kwanza. Ruge angekua na hofu hii machozi ya Nandy yasingechafua kitambaa.

Ni mambo gani upo tayari kuyanya ili yawe alama yako hapa duniani? Ni historia gani unataka isomwe kwenye mazishi yako?Kama wewe ni mchambuzi mzuri wa michezo kama Shaffih Daud ukifa hujatengeneza mchambuzi hata mmoja ilihali uwezo ulikua nao hiyo ni dosari itakayoondoa alama ya maisha yako baada ya kifo chako.



Nimemuona Elizabeth Michael “Lulu” akiuza nguo zake ili apate pesa za kuwasaidia wasiojiweza. Nimemuona Haji S.Manara akianzisha taasisi ya kusaidia watu wenye ulemavu wa ngozi. Hivi ndivyo ukubwa unavyotengenezwa.

Nina hakika kila star wa kitanzania akiamua ana uwezo wa kusaidia watanzania wawili mpaka safari. Roma Mkatoliki azalishe Roma wake wawili, Maulidi Kitenge azalishe Vitenge wengine. Kingwendu Kingwendulile asaidie vijana wa Kibada.



Kuliko kushinda kwenye mitandao kuonesha mali mnazomiliki,ni bora kuonesha unavyosaidia.Hakuna picha hata moja uliyopost instagram uliyopiga ukiwa unaangalia mpira kwenye uwanja wa Old Trafford itakuja kukuzika. Picha uliyopost Facebook ukiwa juu ya ndege sio alama yako baada ya kufa.

Wapo wengi sana wameshaondoka duniani lakini wewe bado upo sio bahati mbaya una jukumu hujalimaliza duniani. Una kila kitu,una pesa,una watoto,una mali za kutosha na unahisi umeridhika na maisha uliyonayo.
1

Post a Comment

0 Comments