LIVE: KAGERA SUGAR 1-0 SIMBA


Kagera Sugar 1-0 Simba
Uwanja: Kaitaba
Goooooal: Kassim Khamis

KASSIM Khamis anawanyanyua mashabiki wa Kagera Sugar dakika ya 20 kwa kuitanguliza timu yake kuongoza mbele ya Simba.

Kagera Sugar iliyo chini ya kocha Mecky Maxime imeanza kwa kasi kushambulia lango la ish Manula na kupata kile ambacho ilikuwa inahitai kwa sasa.

Mashabiki waliojitokeza ni wengi kuoa namna ushindani ulivyo huku mashambulizi kwa timu zote yakiwa ni makali kipindi hiki cha kwanza



from sokoa news http://bit.ly/2KRkKL9
1

Post a Comment

0 Comments