LIVE : YANGA 0-1KAGERA SUGAR, CCM KIRUMBA

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga iliyo chini ya Mwinyi Zahera na Kagera Sugar iliyo chini ya Mecky Maxime unaendelea leo, Uwanja wa CCM Kirumba.

Mpaka sasa kipindi cha kwanza Kagera Sugar wanaongoza kwa bao 1 lililofungwa na nahodha Paul Ngalema baada ya kona kupigwa dakika ya 32.

Ushindani ni mkubwa kwa kila timu kutafuta pointi muhumu leo, mchezo ni wa nguvu kwa wachezaji wote wakihaha kutafuta matokeo.



from sokoa news http://bit.ly/2VDgWOv
1

Post a Comment

0 Comments