VITA ya wababe wawili wanaowania kombe la Ligi Kuu England imezidi kunoga ambapo kwa sasa ni mapumziko, matokeo yao yapo namna hii:-
Liverpool 1-0 wolve, goli limefungwa na Sadio Mane dk ya 17.
Brighton 1-2 Manchester City, mabao yamepachikwa na Sergio Aguero dk ya 28 na A. Laporte dk ya 38 n kwa upande wa Brightoni bao limepachikwa na G. Murray dk ya 27.

from sokoa news http://bit.ly/2YmTDcz
1

0 Comments