Baada ya mchezo wa jana kati ya Yanga na Biashara kumalizika kwa wageni kufungwa bao 1-0, Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera alilalamikia maamuzi ya waamuzi waliochezesha mchezo huo wakiongozwa na Danile Warioba wa Mwanza na kwamba ingekuwa amri yake angemfungia kuchezesha soka miaka minne.
“Goli tulilofungwa lilikuwa la kuotea, waamuzi wanashindwa kutafsiri sheria za soka ingekuwa mali yangu ningemfungia miaka minne.
Utasikia baada ya mchezo huu TFF (Shirikisho la Soka Tanzania) watamfungia miezi alikokuwa amekaa na kumtoa kinguvu.
Awali, gari hilo aina ya Coastal liliingia uwanjani likiwa na wachezaji wa Yanga na waliposhuka Jaffar alikuwa amebaki ndani peke yake ndipo mashabiki hao wakaenda kumtoa kinguvu.
Hata hivyo kabla hawajafika mbali zaidi, watu wa usalama waliingilia kati ya kumpeleka Jaffar jukwaani kwa kuwa hakuwa sehemu ya wachezaji waliocheza jana dhidi ya Biashara United.
Aidha mchezo huo ulikuwa na fujo za hapa na pale ambapo wakati fulani mashabiki wa Yanga na Biashara walioneakana wakirushiana chupa za maji kabla ya gari la ulinzi ‘washawasha’ kuwaonyeshea ishara ya kuwataka watulie wakanywea na kuendelea kuangalia soka.
miwili,” alisema Zahera.
MASHABIKI BIASHARA WAMVAA KIUNGO YANGA
Mashabiki wa timu ya Biashara United, jana walimfanyia fujo Kiungo wa Yanga, Jaffar Mohammed baada ya kuvamia kwenye gari alipoamua kusalia peke yake wakati wachezaji wake wakiwa wameshashuka.
from sokoa news http://bit.ly/2Vxm6Q0
1
0 Comments