Mlinda lango wa Simba Deogratius Munishi 'Dida' ameanza mapema maandalizi ya msimu wa ligi kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya Kimataifa
Dida aliyetua Simba kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu akitokea klabu ya Tuts ya Afrika Kusini, amesema anajipanga mapema kuhakikisha anapata nafasi ya kucheza msimu ujao
Amesema msimu uliopita alijituma sana lakini hata hivyo alishindwa kuwika mbele ya Aishi Manula, mlinda lango namba moja Simba na timu ya Taifa
"Preseason yangu 2018/2019 ilikuwa yenye kujituma sana kuhakikisha napata nafasi kubwa ya kutumika kisawa sawa, lakini haikuwa hivyo"
"Ni wakati mwingine tena wa kuendelea kujifua kwa ajili ya 2019/2020," amesema
from sokoa news http://bit.ly/2KAU7bs
1

0 Comments