Eden Hazard: Real Madrid yamsajili mchezaji wa Chelsea kwa dau la zaidi ya £150m.

Hazard amekubali kandarasi ya miaka mitano na atawasilishwa kama mchezaji wa Real Madrid tarehe 13 mwezi Juni baada ya kufanyiwa matibabu.


from sokoa news http://bit.ly/2ZgQYBB
1

Post a Comment

0 Comments