Lionel Messi aongoza kwa malipo bora zaidi miongoni mwa wachezaji

Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi ndio anayelipwa malipo ya juu zaidi kuliko wachezaji wote duniani , alilipwa dola milioni 127 katika kipindi cha miezi 12


from sokoa news http://bit.ly/2WucZLv
1

Post a Comment

0 Comments