Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine


Rais John Magufuli amemteua Dkt. Mussa Juma kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kuanzia Juni 25, 2019 akichukua nafasi ya Baghayo Saqware ambaye uteuzi wake umetenguliwa.




from sokoa news https://ift.tt/2Yd9Ste
1

Post a Comment

0 Comments