Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limezindua jezi rasmi zitakazotumika na Taifa Stars kwenye michuano ya AFCON inayoanza wiki ijayo nchini Misri
Hafla ya utambulisho wa jezi hizo umefanyika Serena Hotel ukiongozwa na Rais wa TFF Wallace Karia huku mgeni rasmi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda
from sokoa news http://bit.ly/2MNuAi2
1

0 Comments