AFCON 2019: Timu 16 zilizotinga hatua ya 16 bora


Mara baada ya kumalizika hatua ya makundi ya michuano ya Soka Barani Afrika (AFCON) 2019, hizi ndio timu 16 zilizotinga hatua ya 16 bora kwa ajili ya mtoano.

Kundi A: Misri, Uganda na DR Congo.

Kundi B: Madagascar na Nigeria, Guinea.

Kundi C: Algeria na Senegal.

Kundi D: Morocco, Ivory Coast na Afrika Kusini.

Kundi E: Mali na Tunisia.

Kundi F: Ghana, Cameroon, Benin.




from sokoa news https://ift.tt/2KTDbxV
1

Post a Comment

0 Comments