Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na baadhi ya wananchi aliokutana nao katika kivuko eneo la Busisi mkoani Mwanza, wakati akiwa safarini kuelekea mkoa wa Geita kwa ziara ya kikazi, mbele yake ni kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Jumanne Muliro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mwanza, wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani humo ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya askari zinazojengwa katika eneo la
Nyamhongoro.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua gwaride aliloandaliwa kwa ajili yake wakati alipowasili mkoa wa Mwanza kwa ziara ya kikazi ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya askari zinazojengwa katika eneo la Nyamhongoro.
from sokoa news https://ift.tt/2JmxC9i
1
0 Comments