Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu amewasili Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kumuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu Maalum (International Association of Special Education.
from sokoa news https://ift.tt/2XOTGNV
1
0 Comments