Klabu ya Mbao FC ya jijini Mwanza imemtangaza aliyekuwa Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania TaifaStars Hemed Suleiman Morocco kuwa kocha wake mkuu akichukua nafasi ya Salum Mayanga aliyeinoa timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita.
from sokoa news https://ift.tt/2jPk4ZM
1


0 Comments