 |
| Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi baada ya kumpokea leo katika uwanja wa ndege wa Jijini Dodoma. Spika Muturi pia ni Mwenyekiti wa kamati tendaji ya Mabunge ya Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, wageni wengine ni wajumbe wa jumuiya hiyo |
 |
| Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Justin Muturi katika Ofisi za uwanja wa ndege leo Jijini Dodoma. Kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai |
from sokoa news https://ift.tt/2xRC35b
1
0 Comments