Simba Queens waelekea Ujerumani


Timu ya Wanawake, Simba Queens leo imendoka nchini kuelekea Ujerumani ambako itafanya ziara ya kisoka ya wiki mbili. Msafara wa timu hiyo unatarajiwa kutarejea nchini Alhamisi Agosti mosi, 2019.




from sokoa news https://ift.tt/2LjyP3e
1

Post a Comment

0 Comments