VIDEO: Dkt. Bashiru awaonya askari wala rushwa


Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally amesema kuwa askari wanaosimamia sheria za barabarani wanazusha makosa na adhabu ambazo hazina kichwa wala miguu na kuwafilisi wanaoendesha vyombo vya moto huku akimpongeza waziri wa mambo ya ndani.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE




from sokoa news https://ift.tt/2LDnXwF
1

Post a Comment

0 Comments