Mbunge wa Viti Malum vyuo Vikuu Tanzania Ester Mmasi amezungumza masikitiko yake mbele ya katibu Mkuu kutokana na Shule ambayo imejengwa muda mrefu na wananchi ambapo mpaka sasa haijasajiliwa jambo ambalo linatia wasiwasi hivyo kuamua kufunguka mbele ya Katibu Mkuu Bashiru Ally.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
from sokoa news https://ift.tt/2JnM7bu
1


0 Comments