|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud (katikati) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga kujitambulisha
|
|
|
|
|
|
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
|
|
|
|
|
|
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Boniface Simbachawene (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
|
|
|
|
from sokoa news https://ift.tt/2MHX6QD
1
0 Comments