Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 19.08.2019: Dybala, Coutinho, Neymar, Llorente, Sanchez, Bailly, Can, Bakayoko

Mabingwa wa Ufaransa PSG wamefanya mazungumzo na Juventus kuhusu uhamisho wa wa dau la £73m kumsajili mshambuliaji wa Argentina mwenye umri wa miaka 25 Paulo Dybala. (Mail)


from sokoa news https://ift.tt/2HcPlyw
1

Post a Comment

0 Comments