TRA wakanusha kutoa ajira 500



Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayosema kuwa wametoa ajira 500 kwa kueleza hilo halina ukweli wowote.





from sokoa news https://ift.tt/2MHX779
1

Post a Comment

0 Comments