Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utapigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Uhuru kuanzia saa 10:00 jioni.
The post Simba Yamaliza Mazoezi ya Kuiangamiza Mtibwa Kesho appeared first on Global Publishers.
from sokoa news https://ift.tt/2ZSrCim
1
0 Comments