Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 14.09.2019: Mbappe, De Gea, Eriksen, Haller, Zaha

Barcelona huenda ikamsajili mshambuliaji wa PSG na Ufaransa mwenye umri wa miaka 20 Kylian Mbappe baada ya kukosa kumsajili mchezaji mwenza raia wa Brazil Neymar, 27. (Mundo Deportivo - in Spanish)


from sokoa news https://ift.tt/30hnUdw
1

Post a Comment

0 Comments