Pamoja na mapumziko ya muda mrefu ya ligi kuu ya Vodacom, mabingwa wa Tanzania bara Simba wameendelea na program za mazoezi
Leo wameendelea kujifua uwanja wa Ghymkhana katika mazoezi yaliyoongozwa na kocha Msaidizi Denis Kitambi
from sokoa news https://ift.tt/2rwpVXA
1

0 Comments