ZAHERA ADAIWA KUPIGWA CHINI YANGA

IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameondolewa ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri ndani ya kikosi hicho.

Habari kutoka ndani zinaeleza kuwa Zahera alitakiwa atoe ripoti ya mechi zake zote za kimataifa ili kamati iamue hatma yake ambapo kamati imeamua kumpiga chini.

Jitihada za Mtandao huu kuutafuta uongozi wa Yanga zinaendelea ili kupata undani wa habari hizi tutaendelea kukujuza.

The post ZAHERA ADAIWA KUPIGWA CHINI YANGA appeared first on Global Publishers.




from sokoa news https://ift.tt/2oRLnFy
1

Post a Comment

0 Comments