Bodi ya ligi imesogeza nyuma mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda Fc ambao sasa utapigwa Disemba 30 kwenye uwanja wa Uhuru
Awali Simba haikuwa na ratiba ya mchezo wowote wa ligi mpaka January 04 2020 dhidi ya watani zao Yanga
from sokoa news https://ift.tt/2Lbmix0
1

0 Comments