Mazungumzo ya Chelsea kuhusu mkataba mpya wa mshambuliaji wa England Tammy Abraham yamekwama kwa sababu kiungo huyo wa miaka 22-anataka kulilipwa - £180,000 kwa wiki - sawa na winga Callum Hudson-Odoi, 19.
from sokoa news https://ift.tt/2ZD2AAo
1

0 Comments