Dirisha dogo la usajili kufungwa Jumatano



Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevitaka vilabu kuhakikisha vinakamilisha michakato yake ya usajili kabla ya dirisha hilo kufungwa siku ya Jumatano, Januari 15 2020 saa 5:59 usiku



from sokoa news https://ift.tt/39XvMHc
1

Post a Comment

0 Comments