Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 02.01.2020: Vertonghen, Mane, Sturridge, Xhaka, Zaha, Kean

Napoli na Ajax ziko tayari kumpigania Jan Vertonghen, 32, na kuishawishi Tottenham kumuuza beki huyo raia wa Ubelgiji kabla ya kuruhusiwa kuondoka kwa uhamisho wa bure msimu wa joto . (Telegraph)


from sokoa news https://ift.tt/2QCW0FV
1

Post a Comment

0 Comments