Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 18.01.2020: Bailly, Eriksen, Bowen, Kurzawa, Fernandes, Moses

Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na Sporting Lisbon kumsaini kiungo wa kati wa Portugal Bruno Fernandes , 25 katika mkataba unaoweza kuwa na thamani ya £60m lakini uhamisho huo hautafanyika kwa haraka.. (Sky Sports


from sokoa news https://ift.tt/377ImSa
1

Post a Comment

0 Comments