eicester City wameacha mpango wa uhamisho kwa ajili ya kiungo wa kati wa Inter Milan Christian Eriksen, 28, kwasababu mchezaji huyo wa kimataifa wa Denmark anataka mshahara wa pauni 300,000-kwa wiki. (Telegraph)
from sokoa news https://ift.tt/3bVZFeq
1

0 Comments