Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale hayuko kwenye mipango ya Real Madrid msimu ujao, ingawa mchezaji huyo, mwenye miaka 31 amesema anapanga kurejea katika klabu hiyo ya Uhispania mwishoni mwa msimu wake wa mkataba na Tottenham
from sokoa news https://ift.tt/31sRuQq
1

0 Comments