Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 15.07.2021:Trippier, Koulibaly, Barella, Areola, Griezmann, Bellerin, Tielemans

Mlinzi wa pembeni wa England na Atletico Madrid Kieran Trippier kurejea ligi ya Primia wakati mchezaji huyo, 30, akisubiri uhamisho kuelekea Manchester United.


from sokoa news https://ift.tt/3emulWx
1

Post a Comment

0 Comments