Kurt Zouma anatarajiwa kuondoka Chelsea msimu huu wa joto, huku Everton, Tottenham na Roma zikimtaka Mfaransa huyo aliye na umri wa miaka 26, ambaye tayari amekataa ombi kutoka Wolves.(Telefoot on Twitter)
from sokoa news https://ift.tt/3hU4cPU
1
0 Comments