Wolves Wanataka kumfanya winga wa Uhispania Adama Traore, 25, mchezaji wao anayelipwa mshahara wa juu zaidi kwa mkataba mpya wa malipo ya pauni 120,000- kwa wiki kuzuia nia za klabu za Tottenham na Liverpool kumchukua. (Sun)
from sokoa news https://ift.tt/38J5p8x
1

0 Comments