Kipigo cha bao 2-0 kutoka kikosi cha Pep Guardiola, kilijiri chini ya wiki mbili baada ya kile cha bao 5-0 kutoka Liverpool, vimesababisha wengi wakiwemo mashabiki waliokuwa awali wakimuunga mkono Solskjaer, kuamua kuwa raia huyo wa Norway anastahili kufunganya virago.
from sokoa news https://ift.tt/3mQfA2R
1

0 Comments