Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 11.11.2021: Pogba, Messi, Sterling, Cavani, Werner, Ramsey

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba anataka kuongeza mkataba wake na klabu ya Manchester United , lakini mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 28 anataka kumpiku Christiano Ronaldo ili kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi zaidi katika ligi ya Premia. (L'Equipe, via Metro)


from sokoa news https://ift.tt/3bYV8Xx
1

Post a Comment

0 Comments