Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 na timu hiyo ya Ligue 1 unamalizika msimu wa joto(CNN)
from sokoa news https://ift.tt/3ev43Bd
1

0 Comments