Manchester United imefutilia mbali mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland baada ya kufahamishwa kuwa kiungo huyo wa kimataifa wa Norway wa miaka 21-angependa kuhamia Real Madrid. (ESPN)
from sokoa news https://ift.tt/3ItdmP6
1

0 Comments