Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 19.01.2022: Mourinho, Balotelli, Pogba, Kessie, Martial

Paris St-Germain wanafanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28, na kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast Franck Kessie, 25, kutoka Manchester United na AC Milan mtawalio. (ESPN)


from sokoa news https://ift.tt/3FAFbTL
1

Post a Comment

0 Comments