Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku, 28, hana furaha kuwa Chelsea na huenda akajaribu kuungana na kocha wake wa zamani Antonio Conte katika klabu yaTottenham msimu wa joto. (Gazzetta Dello Sport - in Italian)
from sokoa news https://ift.tt/3eHmnHi
1

0 Comments