Kipa Gabaski ndiye aliyekuwa shujaa , baada ya kuokoa mikwaju miwili ya penalti na kuisaidia Misri kuwaondoa katika michuano hiyo wenyeji Cameroon katika mechi ilioamuliwa na mikwaju ya penalti kufuatia sare ya bila kwa bila
from sokoa news https://ift.tt/1bcyTNZ
1

0 Comments