Mlinzi wa Chelsea Antonio Rudiger, 28, anasema klabu hiyo itaamua kama abakie ama aondoke mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshapokea ofa za kujiunga na Real Madrid na Paris St-Germain. (Athletic - subscription
from sokoa news https://ift.tt/WmtpNo6
1

0 Comments