Paris St-Germain wako tayari kumsajiri mshambuliaji wa Liverpool Msenegal Sadio Mane, 30, huku kukiwa na ripoti kwamba amekwama katika mkataba wake mpya. Mkataba wa sasa wa mane unaisha Juni 2023. (Sport Bild)
from sokoa news https://ift.tt/YCHt8l9
1
0 Comments