LIVE LIGI YA MABINGWA AFRIKA : MAZEMBE 0-1 SIMBA


TP Mazembe 0-1 Simba
Goooool Okwi dk ya 1

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali kati ya TP Mazembe na Simba unaendelea kwa sasa nchini Congo

Kwa sasa ni kipindi cha  kwanza ambapo hakuna timu ya Simba imeanza kupata bao la kwanza kupitia kwa Emanuel Okwi akimalizia pasi ya Niyonzima.

Timu zote zimeanza kwa kushambulaina huku kila mmoja akitafuta sehemu ya kutokea.

Mashabiki wa Mazembe wamejitokeza kama wote kushangilia timu ya Mazembe huku wa Simba wakiwa wamejitokeza kiasi chake



from sokoa news http://bit.ly/2XbbH9g
1

Post a Comment

0 Comments