Kocha wa Yanga Zahera mwinyi jana alizungumza baada ya kutoka sare dhidi ya Ndanda katika mchezo wa ligi kuu TPL uliochezwa huko mkoani Mtwara uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Zahera alifunguka kuwa makosa waliyoyafanya ndiyo yaliyowaadhibu katika mchezo huo lakini pia kukosa umakini kwao kumewafanya waache points 2 Mtwara.
Mimi nadhani kama sisi mechi wenyewe ndio tumepoteza mechi, sababu tumefanya makosa angalia goli la kwanza namna tunafanya makosa, tulikuwa tumekosa umakini, na Uwanja mbaya hivi huwezi kucheza pasi ni sisi wenyewe tumejiadhibu tunajipiga sisi wenyewe tumepoteza pointi mbili sisi wenyewe”
“Tumefanya makosa wamepata chance wameingiza goli moja rahisi. 1
0 Comments