HIZI HAPA NNE KUSHUKA UWANJANI LEO TPL

LEO, Jumapili Mei 12, Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu nne zitashuka uwanjani kutafuta ponti tatu muhimu.
Ratiba ya leo ni kama ifuatavyo:-

Lipuli itamenyana na Mbeya City, uwanja wa Samora, Iringa.

Singida United  itamenyana na JKT Tanzania, uwanja wa Namfua, Singida.



from sokoa news http://bit.ly/2VhYpWU
1

Post a Comment

0 Comments