NDONDO CUP LEO KUENDELEA KUWASHA MOTO, 10 KUSHUKA UWANJANI


LEO Michuano ya Ndondo Cup inaendelea ambapo ipo hatua ya awali, timu 10 zitashuka uwanjani majira ya saa 10:00 kumenyana kama ifuatavyo:-

Stim Tosha v Sinza United, uwanja wa Kinesi.

Beira Hotspurs v Magomeni Kombaini, uwanja wa Mwalimu Nyerere.

Ninga v Kapten Center, uwanja wa Tandika.

Makosovo v Magereza Dar, uwanja wa Air wing.

Bungoni City v Uruguay, uwanja wa Benjamini.



from sokoa news http://bit.ly/2HgcTBL
1

Post a Comment

0 Comments