Mshambuliaji wa Simba Moses Kitandu aliyekuwa akicheza kwa mkopo klabu ya Coastal Union, anawaniwa na klabu ya KCB ya Kenya, imefahamika
Kinda huyo amekuwa akiwinda na KCB tangu msimu uliopita
Kitandu alipandishwa kutoka kikosi cha pili ncha Simba kabla ya msimu uliopita kutolewa kwa mkopo
Mwenyewe amesema hana pingamizi kujiunga na timu hiyo kama makubaliano yatafikiwa
from sokoa news http://bit.ly/2wMobsI
1

0 Comments