Nyota wengine tisa waliotemwa Stars



Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaoiwakilisha Tanzania kwenye fainali za AFCON 2019 zitakazoanza Juni 21 nchini Misri

Awali Stars ilikuwa na wachezji 39, wakatemwa wachezaji saba na kusafiri nchini Misri ikiwa na kikosi cha wachezaji 32

Mchujo wa pili umeondoa wachezaji wengine tisa na kubakisha 23 ambao watashiriki michuano hiyo

Miongoni mwa wachezaji walioachwa na beki Abdi Banda anayechezea Baroka Fc inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini

Wengine ni Shiza Kichuya, Shabani Idd Chilunda, Selemani Salula, Claryo Boniface, Kelvin John, Miraji Athuman, Fred Tangalu na David Mwantika

Nyota hao wanaungana na Ibrahim Ajib, Jonas Mkude, Ayoub Lyanga, Ally Khamis, Kenned Wilson, Ally Ally na Shomari Kapombe ambao waliondolewa kwenye mchujo wa kwanza

kikosi kilichobaki Misri



from sokoa news http://bit.ly/2WA6y9J
1

Post a Comment

0 Comments